Main content
View all English videos

Khan Academy Kiswahili

Khan Academy ni shirika lenye lengo kuu la kuboresha elimu. Tovuti hii inawaletea masomo yenye mada tofauti kutumia video, maelezo yakiwa kwa lugha ya Kiswahili.

Mbali na kanda za video ambazo zimeorodheshwa hapa, kuna kanda asili za kiingereza ambazo zimeongezwa mada ndogo (subtitles) za kiswahili. Kuchagua kanda zilizo na tafsiri unayoitaka, tafadhali tumia kichunjio https://www.khanacademy.org/contribute.

Khan Academy shirika ambalo halitarajii kujinufaisha kwa vyovyote kwa kutoa elimu ya hali ya juu, na mazoezi yanapatikana bila malipo. Kama ungependa kushiriki katika kuendeleza huduma ya Khan Academy, tembelea wavuti https://international.khanacademy.org.